3 weeks ago
44K 👀

Hatimaye vigogo CHADEMA waachiwa.


ITV Tanzania photo 1 Hatimaye vigogo CHADEMA waachiwa. ITV Tanzania photo 2 Hatimaye vigogo CHADEMA waachiwa. ITV Tanzania photo 3 Hatimaye vigogo CHADEMA waachiwa. ITV Tanzania photo 4 Hatimaye vigogo CHADEMA waachiwa.

Mimi mawazo yangu hizo pesa apewe babake aquilina ndie mwenye kesi hapo

by rashid omar 2 weeks ago

Huyo mwajiri alie chukua sheria mkononi afungwe kifungo Cha maisha

by Vasco Mwansile 2 weeks ago

Tumesha zoea mbona ata walio kisea majina yao uchaguzi wa wenyeviti ni chadema tu ccm wapo sawa kilakitu sawa mungu tenda haki baba atuna kimbilio lingine zaid yako baba

by Amosi Mwangonji 2 weeks ago

Safi sana Abdallah Mwaipaya kwa utangazaji wako mzuri sana. Tunashukuru sana kwa kipaji chako cha utangazaji.

by Gosbert Rwezahura 2 weeks ago

Hi nchi Mungu aiongoze tu...mbona ckuskia hata siku moja chama tawala wabunge wake alienda jela ni chadema tu

by Mariam Shaban 2 weeks ago

menifurahisha kwahabar zenu big up

by andrew mdoe 2 weeks ago

Mp3 Download

Next videos

arrow_upward

Load More Similar Videos